Jamani mpo?

Jamani mpo?

isjiah

New Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
3
Reaction score
1
Nimejiunga nami nyakanga wa jando babu kijana nimefurahi nami kuwepo kundini kwa wahenga wa jamii hii ni changa moto nipokeeni nami ni mmoja wa makungwi wazuri wa vijana wa kileo tuwaelimishe na tuwape misemo kama hii ''kama mvuvi vua usicheze na mashua''
 
karibu sana,
pls babu unaweza mshauri vipi mtu aliyezaa na shemeji yake?
 
Karibu sana wang.But ulikuw wap?Kipind chot hich jan ndio umejoin JF.Poa but aliyefany kaz kuanzia Asubuh na aliyefany kaz mchan wot wanahitaj mshahar moj kwan wot wamefany kaz?Poa nakup shav san man?Keep on turning
 
We mstaarabu kweli mwenzio nilijiingilia tu bila kugonga hodi
 
Karibu sana, utufunze tufunzike babu!!!
 
Karibu sana,tunasubiri busara zako utuweke sawa vijana wa leo.....!!!
 
Karibu babu, usije kuwa kababu, jamvi lahitaji mikakati sio ukakasi, jamvi lahitaj mababu waje watoe sababu. Jamvi lahitaji michango sio mapambo.
 
Karibu babu, usije kuwa kababu, jamvi lahitaji mikakati sio ukakasi, jamvi lahitaj mababu waje watoe sababu. Jamvi lahitaji michango sio mapambo.

kumbe na wewe hiyo fani unaiweza eeh!
 
Tupo tumejaa tele ka pishi la ubwabwa.

Hizi shangwe ulizokuja nazo naomba ziendelee hapa ndo MMU Stress free.
 
Nimejiunga nami nyakanga wa jando babu kijana nimefurahi nami kuwepo kundini kwa wahenga wa jamii hii ni changa moto nipokeeni nami ni mmoja wa makungwi wazuri wa vijana wa kileo tuwaelimishe na tuwape misemo kama hii ''kama mvuvi vua usicheze na mashua''

Karibu sana jamvini kungwi...hapo ndani ya fridge kulia kwako kuna maji ya uzima au watoto wa mjini wanayaita "Maji ya Loliondo" pata glass moja ili ujisikie sikie. Karibu sana.

Back
Top Bottom