Jamani mpooooo?

Jamani mpooooo?

Darajani

Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Jamani wana jf mi mgeni huku kabisa japo nilikuwa nachungulia kwa mbali, wenyeji jamani nielekezeni mahali pa kutua mizigo yangu mi ni mgeni wenu jamani, nani yuko hapa mlangoni jamani?
 
Darajani kubwa? Ya jambiani,mchambawima,ya kwa mkunduge? Au mtogole kwa bi nyau? Karibu
 
Karibu mgeni usisahau kuvua viatu maana hapa full tiles, hajambo benitez? nafikiri utakuwa umetokea daraja la stamford?
 
Jamani wana jf mi mgeni huku kabisa japo nilikuwa nachungulia kwa mbali, wenyeji jamani nielekezeni mahali pa kutua mizigo yangu mi ni mgeni wenu jamani, nani yuko hapa mlangoni jamani?

Globu ndie bawab, ila subiri kidoogo aje Mkuu Katavi alete funguo. Ukihitaji kutembezwa muone Mkuu Ritz na Mkuu Ulimakafu. Karibu sana Darajani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom