wana jamii forum wenzangu,kwanza nashukuru sana,nlikuwa na vidonda vya tumbo,kwa ushauri wa wana jamii forum,sasa nina ahueni,ingawaje bado cijaweza kula vyakula vvyote,nkitumia kitu chochote kilichowekwa nyanya ni tatizo,na nikila wali ni tatizo,ugali na mboga kavu isiyowekwa nyanya,vinapanda bila shida,tatizo lillilokubwa zaidi,nkienda toilet,cpati kubwa kiufasaha,napata kidogo sana,nikila mapapai kidoogo ahueni,nifanyeje wandugu?msaada