Jamani msaada kwa mwanafunzi huyu,anatafuta vyuo vinavyo toa kozi utabibu,maabara.

Joined
Jan 30, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Mwanafunzi huyu ni mdogo wake na rafiki yangu,wao wanaishi kijijini ambako hakuna mambo ya mitandao kabisaa!!
Nimuhitimu kidato cha 4 2012.matoke yake kama hiv;Bios-C,Chemistry-D,Phy-D,Math-F,Engl-D,H-D,K-D,C-D,G-F na B/know-D.
Kulingana na hali mbaya kiuchumi anatafuta vyuo vya private ambavyo ada yao isiwe zaid ya million 1.5 boarding.kwakoz za Diploma in clinical medicine,Certificate in clinical medicine na Laboratory science and technology kwalevo ya certificate au diploma.
Lakn ameishaomba baadhi ya hzo koz kupitia wizara,kwakua serikali yetu imekwisha chakachuliwa tunaona nivema akatafuta na vyuo vya binafsi,wewe kama mwanajamii tunakuomba utusaidie kujua mengi kuhusu vyuo hvo pia kama kuna ushauri ambao utatupeleka ktk njia nzuri usisite kutupatia.
Vilevile utakua umetenda vyema sana kama utatusaidia anuani,tovoti za vyuo husika na jinsi ya kupata form zao za maombi.
Je,kwa matokeo hayo anaweza kuchukuliwa DIT kwakoz ya lab?hata tanga tech?kama inawezekana pia tunaomba utusaidie kujua jinsi ya kuomba pamoja na form zao au website zao.
Shukrani kwenu wote mtakao shiriki kutoa ushauri na maoni.
Simu:0765 273125.
 
kuna chuo kipo Njombe kinaitwa Ilembula nursing wanatoa diploma ya nursing so kama atakuwa interested atafute mawasiliano nadha kwa hizo maks anaweza pata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…