Jamani msaada pls!

obi's

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
233
Reaction score
40
Jamani habari zenu? Jaman mm kazin kwang nilikuwa naubishi na wenzangu, kuhusu mahusiano ya mapenzi, je wangwana, ni vema m2 kuzungumza / kuwahadithia wenzake juu ya yey katembea na yule huyo, jana kalala na ni, tafadhar naomb mnisadie labda mm nabisha bure!
 
Hakuna kitu kama hicho kwa mtu mwenye akili timamu,labda uwe chizi ndio utaunadi uhuni wako
 
Ni ulimbukeni...ila inategemea una umri gani na unayemweleza pia ana umri gani..
 
inategemea na umri na lini umefika mjini....

kama una miezi tu hapa mjini hakuna atakekushangaa au kama ni teenager pia sio cha kushangaza
 
Jamani mie huwa naskia raha sana kuwatangaza
Natamani hata niwawekee lebo.

Ni sifa kwa mmasai kuwa na mifugo wengi
Ni fahari kuwatambua mifugo wako
Ni uungwana kuwajulisha wenzio wasije wakaingilia mifugo yako.
 
Mim wananilaumu kwa nin tukiw pamoja huwa siwasimlii habari za mahusiano yangu ya kimapenz, wala kuwatambulisha dem wangu, wala kumwita demu barabaran? Kiukwel mim huwa naona kuna maisha binafsi ambayo huwez kumwambia kila m2.
 
HA ha ha ha
Ujue umenitusi sana hapo kwenye red.

:hurt:

inategemea na umri na lini umefika mjini....

kama una miezi tu hapa mjini hakuna atakekushangaa au kama ni teenager pia sio cha kushangaza
 
Mahusiano ni jambo nyeti sana na linawahusu wawili tu na haipendezi kuwahadithia watu kila jambo mnalofanya labda tu pale unapohitaji ushauri kwa jambo la maana au tatizo linapotokea ila mambo ya kitandani si ya kuyatoa nje.
 
Kuna watu hata waki. . . . . . asubuhi/lunch time wanatangaza. Ulimbukeni tu.
 

Ni mbaya mkuu, na haupaswi kufanya hayo mambo! Unajidhalilisha wewe na hao unaowatangaza.
 
Ukimuona mtu anatangaza kalala NA Ashura kesho sakina,mchana mwanamvua jioni Aziza ujue anawalakini ndio mana anataka ajisifie ili wamjue kama yeye kidume cha mbegu kumbe huko mwanzo na yeye pia watu walikua wanamguna sasa anafanya hayo ili aonyesha na yeye kwenye Madume ya Mbegu na yeye yumo, mwanamme Rijali hawezi ongea pumba kama hizo kama ni mtu mkubwa..
 
Kwenye vichwa vya habari muwe munaweka vidokezo!! siyo unaandika MSAADA PLZ!! .......kama hizo humu zipo kibao so wakati wa kuzisearch inakua tabu kinoma.
 
Sio lazima awe si riziki
Wengine tunasema tu
Kwa kumbukumbu

 
en benefit he receive by doin so????if not basi huyo ni absent mind
 
huo ni ulimbukeni huwa wanakuwa wawili huko halafu anayaleta kwenye public kufanya nini inabidi apelekwe jandoni akafunzwe
 
Hakuna tatizo lolote. Kwani tatizo nini hapa? unasema tu na unaeleza kila kitu. Unajua ukiwaambia inakuwa vizuri ili wasiingie kwenye mipaka yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…