SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Ungesaidia kwa kutoa mchango wako maana ni urgentumeandika haraka sana ila ngoja waje
Rudia kusoma ulicho kiandikaUngesaidia kwa kutoa mchango wako maana ni urgent
me sijaelewaUngesaidia kwa kutoa mchango wako maana ni urgent
Nacheti cha diploma ila haina usajili wa nacte una usajili wa veta ila sijasomea veta nimesomea chuo cha kati hapa nilipo so kama sasa vyuo vyote vya sasa vimesajiliwa na nacte kwakutumia cheti changu naweza kujiunga chuo kikuu ? Au kitakuwa hakitambulikime sijaelewa
Tavufa AVN uende zako university.. ni diploma ya mambo ganiiNacheti cha diploma ila haina usajili wa nacte una usajili wa veta ila sijasomea veta nimesomea chuo cha kati hapa nilipo so kama sasa vyuo vyote vya sasa vimesajiliwa na nacte kwakutumia cheti changu naweza kujiunga chuo kikuu ? Au kitakuwa hakitambuliki
Sales and marketing Avn niniTavufa AVN uende zako university.. ni diploma ya mambo ganii
Award verification number unaomba nacte hii itakusaidia kuapply chuo kikuu toka diplomaSales and marketing Avn nini
Award Verification Number (AVN). Ndio hiiTavufa AVN uende zako university.. ni diploma ya mambo ganii
Nitapatia wapi tafadhaliAward verification number unaomba nacte hii itakusaidia kuapply chuo kikuu toka diploma
Ingia website ya nactevetNitapatia wapi tafadhali
SweetyCandyIngekuwa vizuri ukataja na hiko chuo pengine utapata msaada kwa haraka zaidi