Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,213 Reaction score 13,253 Apr 1, 2014 #1 Hivi kunaukweli wowote kuwa vidonge vya uzazi wa mpango vinarekebisha siku za mzunguko wa mwanamke?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Apr 2, 2014 #2 Vinaweza kutumika kama njia ya kurekebisha iwapo alikuwa anatumia dawa nyingine mfano kwaajili ya menoraghi...lakini dawa za uzazi wampango kawaida zinasababisha siku za mwanamke kuwa unregular/zinavuruga
Vinaweza kutumika kama njia ya kurekebisha iwapo alikuwa anatumia dawa nyingine mfano kwaajili ya menoraghi...lakini dawa za uzazi wampango kawaida zinasababisha siku za mwanamke kuwa unregular/zinavuruga