Naomba kujuzwa maneno haya kwa kiswahili maana lugha yetu hii ni changa lakini tata baada ya kuathirika kwa nchi yetu kutufundisha kwa kutumia mitaala na lugha za nje;
1. Neno diploma
2. Advanced diploma
3. Degree
3. Postgraduate diploma
4. Masters
5. Phd
Diploma = Stashahada, cheti
Advanced Diploma = Stashahada ya Juu
Degree = Shahada
Master's Degree = Shahada ya Uzamili/ya Pili
PhD = Shahada ya Uzamiv(f)u
Uko sahihi ila hiyo cheti ni certificate kwa kikristoDiploma = Stashahada, cheti
Advanced Diploma = Stashahada ya Juu
Degree = Shahada
Master's Degree = Shahada ya Uzamili/ya Pili
PhD = Shahada ya Uzamiv(f)u