Ruhazwe JR JF-Expert Member Joined Jan 31, 2011 Posts 3,402 Reaction score 925 Jun 12, 2012 #1 Nisaidieni nifanyeje kama huduma ya kwanza tumbo linaka kunitoa roho,linasokota katkati na kuacha kwa tofaut ya sekund 20 Jamani kufa uwiiii
Nisaidieni nifanyeje kama huduma ya kwanza tumbo linaka kunitoa roho,linasokota katkati na kuacha kwa tofaut ya sekund 20 Jamani kufa uwiiii
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,001 Reaction score 1,021 Jun 12, 2012 #2 Wahi hospitali iliyokaribu upesi!
Loly JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 522 Reaction score 221 Jun 12, 2012 #3 kunywa flagily