Jamani msaada wa haraka unahitajika kabla hali haijawa mbaya

Jamani msaada wa haraka unahitajika kabla hali haijawa mbaya

akiba

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
145
Reaction score
24
Nilianza kuona dalili za malaria tar 31, kutokana na sehemu niliopo hakuna hosptali kesho yake nikanunu marafini nikanywa ila toka siku hiyo hali imekuwa mbaya kichwa kinauma utosini na kichogoni na homa inapanda sana,jana nikarudi mjini nikaenda hospital wakanipa sindano 3 za qunini na vidonge vyake,swali langu nitumie au maana si muda mrefu nimetumia dozi nyingine.

Poleni kwa uzi mrefu kuwafanya mjue jinsi ya kunisaidia.
 
nilianza kuona dalili za malaria tar 31,kutokana na sehemu niliopo hakuna hosptali kesho yake nikanunu marafini nikanywa ila toka siku hiyo hali imekuwa mbaya kichwa kinauma utosini na kichogoni na homa inapanda sana,jana nikarudi mjini nikaenda hospital wakanipa sindano 3 za qunini na vidonge vyake,swali langu nitumie au maana si muda mrefu nimetumia dozi nyingine.poleni kwa uzi mrefu kuwafanya mjue jinsi ya kunisaidia.

Pole sana,,,,usijali utapona ngoja madaktari waje wakupe ushauri na tiba muafaka. Cc mimi49......
 
Last edited by a moderator:
nilianza kuona dalili za malaria tar 31,kutokana na sehemu niliopo hakuna hosptali kesho yake nikanunu marafini nikanywa ila toka siku hiyo hali imekuwa mbaya kichwa kinauma utosini na kichogoni na homa inapanda sana,jana nikarudi mjini nikaenda hospital wakanipa sindano 3 za qunini na vidonge vyake,swali langu nitumie au maana si muda mrefu nimetumia dozi nyingine.poleni kwa uzi mrefu kuwafanya mjue jinsi ya kunisaidia.
Hio dawa ulotumia mwanzo umesema ni marafini? au malaquin?
 
Back
Top Bottom