Jamani msaada wa haraka unahitajika kabla hali haijawa mbaya

akiba

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
145
Reaction score
24
Nilianza kuona dalili za malaria tar 31, kutokana na sehemu niliopo hakuna hosptali kesho yake nikanunu marafini nikanywa ila toka siku hiyo hali imekuwa mbaya kichwa kinauma utosini na kichogoni na homa inapanda sana,jana nikarudi mjini nikaenda hospital wakanipa sindano 3 za qunini na vidonge vyake,swali langu nitumie au maana si muda mrefu nimetumia dozi nyingine.

Poleni kwa uzi mrefu kuwafanya mjue jinsi ya kunisaidia.
 

Pole sana,,,,usijali utapona ngoja madaktari waje wakupe ushauri na tiba muafaka. Cc mimi49......
 
Last edited by a moderator:
Hio dawa ulotumia mwanzo umesema ni marafini? au malaquin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…