Jamani msaada wa haraka

Villky_J

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
492
Reaction score
609
Habar zenu humu.

Mke wangu ana tatizo mm niko mbali nae kutokana na shughuli zangu. Ila tokea usiku wa kuamkia leo damu zinamtoka puani mpaka sasa hv hazijakoma ingawaje wamempeleka hospital amechomwa sindano na kupewa dawa za kumeza. Nina wasiwasi jmn maana si kawaida. .nisaidieni tafadhali. Mpk muda huu zinaendelea kutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu,kwa huruma ya Mungu atapona hivi punde. Damu ya Yesu imzunguke.
 
mwambie atafuye pande la barafu....aliwwke ndani ya kitaulo au hata kitambaa then ajikande pua na maeneo ya mashavu..
awe kwa mda hilo barafu karibu na tundu za pua apumulie.
itamsaidia
 
Hospital ni mikono Salama.atapona tu.Na kama Unapenda Mke wako omba ruhusu kazini urudi nyumbani kuuguza Mke wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…