Jamani msaada wana JF

fedawa

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
40
Reaction score
7
hope wote mu wazma,

jaman naombeni mnisaidie hivi kuna dawa za typhoid ambazo husababisha damu kupungua mwilini? hope ntapata majibu mazuri.
 
hope wote mu wazma,

jaman naombeni mnisaidie hivi kuna dawa za typhoid ambazo husababisha damu kupungua mwilini?hope ntapata majibu mazuri

Unapotaka majibu mazuri basi uliza swali vizuri..mimi nakwambia hivi hizo dawa zipo..unadhani nimekusaidia kwa chochote?
 
Unapotaka majibu mazuri basi uliza swali vizuri..mimi nakwambia hivi hizo dawa zipo..unadhani nimekusaidia kwa chochote?

hamna kalagabaho,nimeuliza hivyo kwa sababu ni antibiotic na nimesikia zinamaliza white cells.
 
Je ni kweli mtu akizitumia sana damu inaweza kupungua? naomba kujua ni dawa zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…