jamani msaidieni happy

tena nikiandika tu nitakula ban, shit.
naenda jukwaa la siasa.
 
umeona kitu hicho dada ... Dunia hii? ...loh
smile nimeipenda stail ya avator yako........ulianza kwa kuweka sura ikalipa kweli for smtms kisha ukaleta sehem ya kifua tukaona kabisa ulivyojaliwa........ sasa umetuletea maeneo nyeti hips kisha baada ya muda malizia miguu................ baada ya hapo sidhan kama kuna mkaka wahumu jamvini ambaye hata kupm. manake ukiunganisha naweza kukupata kabisa............ duh sijui na mm nimsaidie baba g kukupm????????? uko very creative kwenye biashara.
 
AHAHAA my dear sister g so wataka kusema nipo kibiashara humu?....... ahahaaa sawa bana..
kiukweli mimi sipo kibiashara nipo huku jf cause ndo sehemu napata watu wanaonifanya nismile ...nawapenda sana
pia mimi ni mkweli kwa nini nijifiche?
 

Achana na Alex kabisa tena usije ukamwambukiza tamaa yako ndio iliyokuponza, unasema alikusaidia kimasomo, kipesa alafu ukamtosa ukamuona hafai ukakimbilia kwa victa sasa Victa kaathirika naye unamuona hafai kwa kweli vijana wasiku hizi hamjatulia kabisa wengi wao hasa wasichana tamaa ni nyingi mno, siku hizi mtu hapendwi pasipo pesa na vito vya thamani. Usimwache Victa mpe moyo kwakuwa anaweza kuishi kwa matumaini kwani ameshajua afya yake na pia haepuke ngono nawe rudi ukapime mpaka maratatu ili ujiridhishe mara moja tu haifai. Alex usimguse kabisa mwache labda naye hukute alishapata mahusiano mengine naye unataka amwache huyo aliyekuwa nae amuumize kama ulivyomuumiza? Mwache aendelee na life yake nawe usimnyanyapae huyo Victa mpe moyo katika kipindi hiki kigumu kwake.
 
 
Hadithi tamu sana hii...............Alex, Victor, Happy.............
 

1.Utakuwa na ukimwi kama unabisha baada ya miez3 kapime!
2.ww hujui nn maana ya kupenda Alex ukumpenda sema ulipenda mkwanja wake!
3.Usiende kwa alex 2lia na victa huyo ndie wakowakufanae!
4.ww pia nim2 wakupenda sex bila condom kama ungekuwa unajali usingekubali!
5.alex ushamuumiza kipesa,kimapenz na kubwa zaidi ushamdharau kumpatambulisha victa kwake!
6.alex kama mwanaume yoyote awezi kukubali use***wako!
7.hata kama atakukubali hata kupenda kama mwanzo zaidi ya kukudharau na kukuona ****!
Naiwe fundisho kwa madem wengine kama ww!
 
Bora uachane na mapenzi kwa muda! You don't deserve Alex's love for sure! Ulimuumiza sana bila hatia sasa yamekushinda unataka kurudi kwake?no thank you!

Hana shukrani hata kidogo...........hivi unatukanaje mamba kabla hujavuka mto?????? Mwambie happy awache tamaa itamcost mbaya huko mblele ya safari.
 

pole sana ila kumbuka kitu kimoja kuwa mwanaume akishalia akanyamaza unaweza kumshawishi akuludie kama kuna siri ulikuwa unamhifadhia au labda ana roho nyepes otherwise thubutu!!!
Kwa upande mwingine hilo ni fundisho na kwa wengne kwel kabsa wanawake mkitoka level fulan kwenda nyingne huwa manajtapa sana na weng wenu ndo mnasaliti kbsaa! Tena mbaya zaid huwa mjishow au kuwaambia ma x kuwa nimepata mwingne mbwembwe nying hili nimejfunza kwa weng sio wewe !
Ila note kitu kimoja kuwa mahusiano yenu yalikuwa yanajulikana na ndg,jamaa na marafk sasa ulivyomuacha kama aliwaambia jua itakuwa shame on him akikuludia

kwahyo kama unania ya dhati JIPANGE
 


utajuaje lbda Vcta aliikuwa anajijua
labda happy arudi na ajibu kuwa Victa alipokeaje majbu yake???
 
Unataka kurudi kwa Alex baada ya victa kuwa muathirika? Ingekuwa vyema kama ungerudi baada ya kuwa now umegenduwa unampenda alex, lakini kwa sababu ya victa muathirika,siyo sahihi kumbuka malipo ni hapa hapa duniani mimi naona muache alex aendelee na maisha yake maana unaonekana siyo muaminifu bali ni materials woman
 
Mungu wetu niwautaratibu sana na hubarikia wale wanaoteseka kama kweli uliamua kuachana na mpenzi wako aliyekuwa anakusaidia. Je, unamapenzi ya kweli hata kwa huyo? si ajabu wewe ndie uliyemletea hata huyo hapa unajibalangua tu,nilitamani upate hata na wewe ukimwi ili liwe fundisho kwa wajinga kama wewe. tamaa mbele mauti nyuma, majuto mjukuu, fikiria sana na samahani kwa niliyokuandikia haikuwa maana yangu
 
Dada yangu "MPENDAPENDA" unataka kulamba matapishi yako? Hebu mwache Alex wa watu apate nafasi ya kuwa/kupata aliyeumbwa kwa ajili yake. Hakika wewe hukuwa wake. Tena kaa mbali naye kabisa usije ukamwambukiza kijana wa watu asiye na hatia maana kama ndo mmepima jana tu, vyako vitakuwa bado ktk Window period! POLE!
 
Ukiangalia hii story imewaboa wachangiaji wengi sana hasa wanaume,mi nakushauri utulie kwanza utafakari kwa makini kabla ya kufanya papara ambazo zitakugharimu.It seems that you are a fast mover who wants to jump into every men that you think is good at the momemt,remember that high speed kills and soon you will die hard.
 
utajuaje lbda Vcta aliikuwa anajijua
labda happy arudi na ajibu kuwa Victa alipokeaje majbu yake???

angekuwa anajua angeshampitia siku nyingi bila condom. Kwan kuna shida? Ni makahaba tu wanaoweza kuzuia wasitiwe bila condom,hawa wengine huwa hawajielewi. Pia asingekubali kwenda kupima ili na happy ajue. Hii kazi ya counselling ngumu sana hata jamii inashindwa kuwahandle waathirika. Ukisoma comments nyingi utagundua kwamba wengi wetu tumekuja juu badala ya kumshauri kirafiki. Yawezekana yeye ndo rxn yake kwa situation hiyo ila inatakiwa kuwaweka watu kama hawa kwenye mstari ili rxn yake isilete madhara zaidi. Hawa watu inabidi kwenda nao taratibu,na hili ni tatizo hata kwa ndugu ambao huwa tunakuwa wa kwanza kuwanyanyapaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…