Jamani hilo suala ni la kweli kabisa hata mimi nathibitisha na wala sio uzushi. Mimi binafsi kuna jamaa angu mkewe kapata wiki moja iliyopita kimyakimya....nilipata taarifa kwa mume wewe na nikapigwa na butwaa. nilimuuliza wametangaza lini akanijibu hawatangazi ila kama unamjua mtu strong NIDA mface then unapata mchongo. kwa kweli mimi niliishiwa nguvu kwa taasisi kama hiyo ya serikali inafanya mambo kienyeji namna hii tutafika kweli???