MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Wawe na uwazi kwenye mapato na matumizi yao wachekwe? Maana wakifanya hivyo wafuasi wao watagundua kama hawa jamaa nao ni mafisadi tu ambao wanaishi maisha ya hali ya juu kwa michango chungu nzima toka kwa waumini wao na wakati huo huo hawana unabii wowote ule ni wanafiki tu.
hivi unabii siku hizi unagawiwa kama njugu eeh.
Sawa huko sunday school si tunafundishwa mema na mabaya na si mwanadamu amepewa utashi wa kuchagua mema na mabaya, na kwa kuwa tumeelekezwa huko sunday school hatuna budi kufuata,swala la mtu kukengeuka anafanya huku akijua lipi jema.Kwa hiyo hawa manabii hutupa nguvu ya kupinga utashi tuliopewa wa kuchagua jema au baya kwamba tukiombewa tunachagua jema tu? Suala la mtu kuwa hajawahi kuponywa ni dalili ndio sababu ya kwenda kwa nabii? napenda tu kueleweshwa.
hakuna kitu kama hiko,tusidanganyane,eti kwa kuwa hujaponyeshwa na mchungaji ndio uende kwa nabii,kwanza hakuna manabii sasa hivi,neno la Mu`ngu linasema watakuja manabii wa uongo ndio hao kuwa makini!
Sawa kwa hiyo muda gani utumike kama kipimo, kwamba nisipoponywa within a year nihamie kwa nabii mwingine, au nipofanikiwa mambo yangu ndani ya mwezi nitafute maombi pengine?
achana na imani hizo utapotea ndugu yangu,uponyaji ni imani,amini yoyote atakae kuombea utapona,neno linasema Mungu wetu anajibu kwa wakati wake achelewi wala hawahi mradi uwe na imani na mkamilifu mbele zake.
sawa
mwisho nina swali hivi kwenye biblia tunaona kweli Uponyaji ulitokea na miujiza ila kwa ufahamu wangu mdogo nasoma kuwa mara nyingi yesu alipofanya miujiza aliwasihi wale walioponywa wasitangaze kwa watu, napata wazo kuwa Yesu hakutaka ionekane kuwa kazi kubwa ya ukombozi ni miujiza ila kubadili roho za watu, waache dhambi. Nachelea kuamini huu uponyaji wa siku hizi, wahubiri wameelemea kwenye mijuiza yaani mabadiliko ya miili (ikiwemo kufanikiwa kupata visa, magari, utajiri-niliangalia mahubiri fulani mhubiri alisisitiza waliokosa visa waende waombewe, wanaotaka utajiri waombewe nk) badala ya kuhubiri ukombozi wa roho.
Pili, kwa nini hili wimbi la wahubiri wanaofanya miujiza limeongezeka kwa kasi miaka hii? ina maana makanisa yetu huko nyuma hajafanya kazi ipasavyo? Na mijini ndio kwenye watu wenye matatizo sanaaa maana ministry nyingi ziko mjijini.
Nikieleweshwa kwenye hili basi nitaacha udadisi.
Sawa huko sunday school si tunafundishwa mema na mabaya na si mwanadamu amepewa utashi wa kuchagua mema na mabaya, na kwa kuwa tumeelekezwa huko sunday school hatuna budi kufuata,swala la mtu kukengeuka anafanya huku akijua lipi jema.Kwa hiyo hawa manabii hutupa nguvu ya kupinga utashi tuliopewa wa kuchagua jema au baya kwamba tukiombewa tunachagua jema tu? Suala la mtu kuwa hajawahi kuponywa ni dalili ndio sababu ya kwenda kwa nabii? napenda tu kueleweshwa.
achana na imani hizo utapotea ndugu yangu,uponyaji ni imani,amini yoyote atakae kuombea utapona,neno linasema Mungu wetu anajibu kwa wakati wake achelewi wala hawahi mradi uwe na imani na mkamilifu mbele zake.Sawa kwa hiyo muda gani utumike kama kipimo, kwamba nisipoponywa within a year nihamie kwa nabii mwingine, au nipofanikiwa mambo yangu ndani ya mwezi nitafute maombi pengine?
sawa
mwisho nina swali hivi kwenye biblia tunaona kweli Uponyaji ulitokea na miujiza ila kwa ufahamu wangu mdogo nasoma kuwa mara nyingi yesu alipofanya miujiza aliwasihi wale walioponywa wasitangaze kwa watu, napata wazo kuwa Yesu hakutaka ionekane kuwa kazi kubwa ya ukombozi ni miujiza ila kubadili roho za watu, waache dhambi. Nachelea kuamini huu uponyaji wa siku hizi, wahubiri wameelemea kwenye mijuiza yaani mabadiliko ya miili (ikiwemo kufanikiwa kupata visa, magari, utajiri-niliangalia mahubiri fulani mhubiri alisisitiza waliokosa visa waende waombewe, wanaotaka utajiri waombewe nk) badala ya kuhubiri ukombozi wa roho.
Pili, kwa nini hili wimbi la wahubiri wanaofanya miujiza limeongezeka kwa kasi miaka hii? ina maana makanisa yetu huko nyuma hajafanya kazi ipasavyo? Na mijini ndio kwenye watu wenye matatizo sanaaa maana ministry nyingi ziko mjijini.
Nikieleweshwa kwenye hili basi nitaacha udadisi.
kwa kweli huyu ndugu Geodavie huduma yake INATIA SHAKA
Kwa nini watu wawe na mashaka na maswali mengi juu yake lakini hawana mashaka wala wasiwasi na mtu kama Mwakasege na wahudumu wengine?
Hata mimi namuona Geodavie ni mpinga kristo.
Biblia inasema wazi kuwa amelaaniwa yule amtegemea mwanadamu, amfanyaye kuwa ngao na kinga ya maisha yake.
Geodavie yeye anatembea na mabodigadi, je Yesu hatoshi kumlinda??
Zaburi inasema Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.
Yesu alipokuwa anakamatwa ili akasulubiwe mmoja wa wanafunzi wake alitoa kisu na kumkata askari mmoja sikio, Yesu akaliunga.
Hapo alikuwa anatufundisha kuwa vita yetu si ya damu na nyama ila ni ya kiroho, tunapigana na yule adui mwovu shetani. Mabodigadi wapo ili wapigane vita gani?/ je ni ya mwili au ya roho?
Nilipata nafasi ya kuhudhuria Mkutano mmoja wa Geodavie ulifanyika mwaka jana viwanja vya Biafra,
Nilichokiona ilikuwa ni kama kupiga ramli...........
jamaa alisema kama unahisi kuna mtu yeyote anayekuroga, andika jina lake kwenye karatasi..
kisha nitafanya maombi huku tukiteketeza majina hayo kwenye moto....
Akaendelea kusema kuwa wale wote walioandikwa majina watapatwa na mambo mabaya.
Yesu hakuja kuhukumu ulimwengu ila ulimwengu uokolewe kupitia yeye.
Tunaiombea sana huduma ya Nguromo ya upako....
Tunamuombea na mheshimiwa nabiii......
Arusha amekosa watu ndo maana kahamia DSM,
Tunaomba abadilishe namna ya kuongoza watu,
abadilishe namna ya kufanya ibada,
abadilike utu wake wa ndani...
amrudie Yesu.. maana muda wote yeye husema MUNGU WA NGURUMO ULIYENITOKEA PALE MADHABAHUNi.....
Da Mi huwa nasikia Mungu wa lsaka, Mungu wa Yakobo...
Lakini huyo Mungu wa Ngurumo ni mpya.
Ni kweli inatosha kama yeye ni mwinjilist,lakini kwa nini tulazimishe ajiite mwinjilisti kama yeye ni Nabii?fahamu kuna karama nyingi lakini Roho ni yuleyule,kama wanafanya usanii hukumu ni juu yao lakini hauwezi kumuhukumu mtu kwa title ya utumishi anayoitumia unless wewe ni MUNGU au unamjua vizuri sana personally.Dah! nisaidie nawe mwenzangu,kwani mtu ukijiita MUINJILISTI haitoshi na watu hawapokei neno la Mungu.......?????
Juzi jpili nilihudhuria kwenye maombi ya ngurumo ya upako na nabii geor davie ambaye aliendesha maombi kwenye ukumbi wa diamond jubilee kwa kweli yesu anatenda miujiza pamoja na kwamba watu watasema mengi lakini nimeshuhudia kwa macho yangu , mimi sitakiwi kujua anatumia nini na anafanya nini bora anataja jina la yesu natakiwa nisikilize maneno.
Mkutano huo ulitangazwa jmosi jioni lakini watu walijaa ile mbaya na hajatangaza kwenye redio wala gazeti tumeambiwa tupashane habari.
Ni hivi nabii geordavie atakuwa anaendesha maombi yake dar kwa muda wa wiki nne kwa sababu lile eneo alilokuwa anatumia kule kisongo arusha mwenyewe kamnyan'ganya na linanunuliwa na mfanya biashara mmoja arusha kwa hiyo wakati eneo lingine linaaandaliwa atakuwa dar kwa muda huo kuna muumini ametoa eneo la ekari 2 ndo liko kwenye matengenezo kwa hiyo kwa muda huo waumini wa dar tutapokea upako live pale makonde maeneo ya mbezi beach.
sijawahi kuhudhuria mahubiri yake but nilikuwa nakutanaga na msafara wake, kwenye no plate kaziba kaandika "ngurumo ya upako" ana escort kama ya waziri fulani, wengi wanayacfia/wanayapenda mahubiri yake, na wengine wanaongea mengi kuhusu yeye, ndio nyakati za mwisho hizi "manabii" wengi watajitokeza.]
Umeona eeh, Yaani anapita Kawasha na mataa na vitambaa pembezeni mwa gari vimeandikwa ngurumo ya upako na kama ulivyosema, Gari lenyewe tinted! sa sijui ndo yesu huyo ama!!!
2meambiwa tufuate maneno siyo matendo, hutakiwi kujua anafanya nini au anatumia nini ananiombea kwa jina la yesu ninapona, mambo yangu yanafunguka ananisomea mistari ya biblia hayo mengine mimi sina shida nayo kwa sababu namwamini Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yangu atumie nini , au nini i dont care.
na kama ni swala la kwenda kutangaza injili vijijini huwa anaenda kwani mwaka mzima anakuwaga dar msiongee kwa ushabiki ongeeni vitu mlivyo na uhakika navyo yeye hatutangazii injili nadhani wengi tangu sunday school tunasoma biblia wengiene ni mabigwa wa wokovu lakini hajawahi kuponywa na mambo yake ni mabaya daily ndo mana tukaletewa watu wa kutufungua na vifungo. kama wengine wanavyosema wengi watakuja kwa jina langu mimi kama mkristo natakiwa niangalie kuna mahali unaingia wewe mwenyewe unaona hapa ni usanii mtupu. mchungaji anaombea mtu mwka mzima hajapona yeye akiona imani yako iko chini sana yani umeenda kujaribu hakuombei maana usipopona ndo utamuona muongo, anafanya kazi na watu wenye imani na wasio na imani anawatia moyo wamwamini Mungu ndo watapona mpo hapo?