Jamani msiwaseme vibaya watumishi wa Mungu

mstahiki, mheshimiwa , nabii ..............
 

You who said so, god punishes those who dirten his name. you are among them
 
Miujiza haitokani na huyo mchungaji bali niimani yako tu,hivyo sioni haja ya kwenda kutafuta miujiza wakati hata wewe mwenyewe kama unaamini basi imani yako itakuponya.Wengi huenda tafuta miujiza baada ya kukata tamaa na huko ndio hukutana na nguvu za ziada ambazo huwa ni vigumu kujua zinatoka wapi na hujikuta wakiamini Yesu anatenda miujiza,kuweni makini.
 
Nabii? Dah, haya bwana!


Hapo ndio napopata shida sana hata mimi..........mara mtume; kwani haitoshi ukijulikana kama mtumishi wa mungu tu? walau vyeo kama pastor na bishop vipo kwenye utaratibu wa makanisa....................lakini hili la NABII????
 


Kweli weye ni mwanazuoni; umemswalika Jocelyne maswali ya msingi kabisa......................masikini kondoo wa Arusha wameachwa bila mchungaji! Ama wanasafirishwa dar kuja kuhudhuria ibada?
 
ok mi nakubaliana na yote ya nabii..ila my problem is sijaelewa amenyang,anywa eneo arusha ndio akaja dar???? mh so huku dar eneo amokdi au kuna mtu amejitolea????
 
wajinga ndiyo waliowao, hivi hawa manabii waopata upako miaka hii ya 2000 walikuwa wapi siku zote?
wanakula jasho la wajinga bila kodi,,,,tena wala hawaulizwi kilichoingia,,,,,,,

watu wanahangaika kutafuta miujiza inapotangazwa wakiamini ndo yesu alipo, poleni........... Kweli hawa ndo manabii wale wa uongo walionenwa kuwa watakuwa na nguvu za ajabu,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…