Sospetergideon
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 300
- 16
Mwenzio akil imerud saiv hali hii haiwezi kuendelea, naweza swahili kuongea pia lakini sio swahili mufti sana zaidi ntazingtia ushuri wako mtoto wetu.
Naomba uiweke hii stori yako kwa lugha ya KIYAHUDI
Hapana hatukumuua Yesu hawa ndio wenye walihusika.afu hawa si ndo walimuua yesu hawa!
It's ok, if at all I lied.
afu hawa si ndo walimuua yesu hawa!
Hapana hatukumuua Yesu hawa ndio wenye walihusika READ THE BIBLE.Ndio wenyewe ila hua wanaruka
Gotta be kidding lol! he married already, He's on his fifties.Mi nashauri mpe na tigo umpagawishe kabisa.
Huyo jamaa anakupenda, usimharibie kile ambacho amekijenga juu yako!
Kwa sababu ulikubali toka mwanzo wewe endelea, ikiwezekana make him your husband!
Je mnatofautiana miaka mingapi?
Really! who's Shigongo? I don't do certificates, am on my 3rd year's first semester, in none of the places you mentioned above.Nenda kwa shigongo akupe page moja utunge hadithi na mikasa ya kimapenzi ni mtunzi mzuri sana,vp unasoma certificate ya journalism wapi? Upendo au tsj? Upo kwenye practical?
OMG!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!is this a real true story my dear?
iam really sorry for that accident!
you have to change somehow from now!
try to minimize some appointments with that guy from now!
otherwise, you will continue regretting!
Asanteee!simama imara dada umekuwa nae muda wote maliza chuo ndo ujipange na maisha mapya
I bet you are out of place, just failed to grasp your ideas!Bongo move mpo hadi kwenye jukwaa la elimu yani serikari wanachanganya siasa na elimu,nyie mnachanganya elimu na Move bado TBL nao waruhusu pombe na elimu viwe rasmi hii. Kitu ipo Tz kwa nini tusipewe tunzoo ?