Ndala ndefu
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 237
- 42
Jamani mapenzi ni kitu cha ajabu sana, huyu binti kila nimwonapo iwe ni katika majukwaa ya kisiasa au mahari popote huwanajisikia faraja na kutamani kumsogelea japo nimwambie hisia zangu juu yake. Naombeni ushauri wenu wanajamvi nifanyeje ili niweze kumfikishia yale yaliyo moyoni mwangu huyu binti? Au mwenye namba zake za simu anisaidie tafadhari sana wapendwa, pia kama huwa anapita kwenye hili jukwaa namwomba ani PM!
