Jamani mwenzenu napokea PM 93 za JF kwa siku nitakuwa na tatizo?

Jamani mwenzenu napokea PM 93 za JF kwa siku nitakuwa na tatizo?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Wajuvi wa mambo nitakuwa na tatizo gani mimi?

Na nyie mnapokea pm kunakuwa na tatizo gani eti?

Sielewi naombeni ushauri.

Location: Hombolo village.
IMG-20190210-WA0010.jpeg
 
Back
Top Bottom