Umekose jukwaa mkuu!
Hili ni MMU sio matangazo madogomadogo!
mbona hamna haja ya kuogopa mkuu. Labda ungalkuwa hutoi kitu ndo ingekuwa tabu
Mkuu sema tu kwamba ulitaka kuomba picha!!
mkuu waonyesha wewe Ndio waomba picha hapo.....
mh sijui kwanini naona ka hii post imekaa kama mwandishi anatafuta njia ya kujisifia vile......