Jamani mwenzenu sijielewi

.
Mbona unawahi sana? Dakika 45 tu?
Omba ushauri wa nini ufanye ili uchelewe chelewe kidogo.........
 
Jiandae ki-saikolojia kuwa leo au muda huu unafanya tendo gani,fanyeni romace ya kutosha
 
.
Mbona unawahi sana? Dakika 45 tu?
Omba ushauri wa nini ufanye ili uchelewe chelewe kidogo.........

mh!ushauri wako n kiboko,kwa hyo unataka awe anaenda 1.5 hrs goli moja?utamuua kijana wa watu.
 
utakuwa una wadudu waziba mirija wakati unataka kupizi nenda kwa daktari sawa
 
Its never about Quantity, but Quality.
 
bro mi naona kama kuna tatzo kdogo,goli la kwanza dk 45?inawezekana pia ni kwa hisia kali sana ndo inakua hzo dakika,jaribu kumchek docta,mi hzo dk n kuanzia cha 2 na kuendelea had cha 7 km sina mzuka sana ila km nna mzuka had cha teni.
 
 
Last edited by a moderator:
Effects za punyeto hizo, umeshasugua kichwa cha dushelele na mikono mpaka kimekuwa kama kisigino cha bibi kizee!!! Papuchi laini huwezi ku-feel hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…