hii imekaa safi kabisa...ni kweli wanawake nao wasaliti kama wanaume....enter in a relationship at ur own risk!!
long distance relationship ni uongo mtupu hapo! wala asikudangenye mtu eti they work hamna lolote kudanganyana tuu!!!!
Tuombe msamaha kwa kusema kitu usicho kijua. Long distance relation ni kama relation ingine yote. kuna matapeli na kuna waaminifu. Mi nazijua nyingi ziko sawa kabisa, kama ninavo zijua zisizo kwa hivo nadhani sio sawa kugeneralize situation ya watu kadhaa. bora hata ungesema most of relation unazo zijua wewe, lakini usisemi long distance ni uongo!hii imekaa safi kabisa...ni kweli wanawake nao wasaliti kama wanaume....enter in a relationship at ur own risk!!