Jamani na mie mnikumbuke katika DUA zenu!!

Mungu akutangulia katika tukio hili muhimu sana kwa mwanamke
Nitakuja kukuona Shishi
 
siipendi hii kitu Fab
cause baada ya kujifungua unaanza kuuguza majeraha unakuta wengine matumbo yanagoma kurudi normal
No way. napenda uupitie uchungu maana hata bible imeandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu hili ni jukumu letu sweetheart
 
Mungu atkutangulia katika process nzima; umesema CS; Dada Shishi wewe uliandikiwa utapata kwa njia hiyo; having a baby is not a contest or a perfomance! Nenda katulete kamjomba ama kashangazi...........kila la kheri
 
siipendi hii kitu Fab
cause baada ya kujifungua unaanza kuuguza majeraha unakuta wengine matumbo yanagoma kurudi normal
No way. napenda uupitie uchungu maana hata bible imeandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu hili ni jukumu letu sweetheart

First Lady sio wote wanapenda kwa kuchagua na alaaaniwe huyo achaguaye!
 
ee Bwana uisikie sauti yangu,
Masikio yako na yaisikilize sauti ya dua zangu

Zab 130: 2.

Kila siku na uiseme dua yako na yeye umwombaye atakusikiliza.
 
Kila la kheri dear, inshallah zoezi zima litaenda salama kwa nguvu zale mwenye-enzi...
 
First Lady sio wote wanapenda kwa kuchagua na alaaaniwe huyo achaguaye!

mwenyewe sikuchagua lakini ilinitokea kidogo nikate roho sitasahau:redfaces:
wakati nasubiri kuna mdada mmoja mrembo akaja kuomba apate CS nikamshauri kagoma eti hataki mateso
 
siipendi hii kitu Fab
cause baada ya kujifungua unaanza kuuguza majeraha unakuta wengine matumbo yanagoma kurudi normal
No way. napenda uupitie uchungu maana hata bible imeandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu hili ni jukumu letu sweetheart

mnh labda wewe dada dini imekukaa sana kila linaloandikwa kny bible unalitilia manani,mie siko hivyo,i believe jambo la kuongeza mtoto kny familia liwe la furaha,na upatikanaji wa huyo mtoto usiwe wa shida kufanya trauma....
kuhusu matumbo kutorudi kuwa normal,ni jinsi mwanamke atakavyoji care baada ya kujifungua,it has nothing to do with operation!nawajua watu kibao waliojifungua kwa njia ya kawaida na matumbo yao kubaki makubwa...
na pia nimeona wazungu wengi wanajifungua kwa njia ya CS, na population yao in average size wana matumbo madogo compare na sisi waafrica tunaojifungua kwa njia ya kawaida!
 
😛reggers: Next tuesday :baby: wewe na baba watoto :hug: neksti year :bathbaby: 2012 😛reggers: again ..................:amen:
 
Ohhh Shishi, Utavuka Inshaallah, nakuombea dua dadangu.
 
"Mola wangu Mlezi! Mpe mja wako huyu kutoka kwako uzao mwema. Wewe ndiye unaye sikia maombi... Ewe Mwenyezi Mungu hakuna jepesi ila ulilolifanya jepesi, nawe unalifanya gumu jepesi ukitaka... Mwenyezi Mungu akibariki atakacho kupa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa mtoto wako na uruzukiwe wema wake"
Amin
 
Amen!
 
Haya Binti Fab nakuombea Sana ukipanga kujipatia babie na iwe kama upendavyo.
 
Bwana awe nawe,
awe pia na mumeo,
Amiiina!
*Nimesikia upo Nai..ni hospitali gani nije nikuletee maua jamani!??
 
All the nest Shishi, everthing will be alrite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…