MWANANCHI MUSOMMMA
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 328
- 50
HABARI WANANCHI WENZANGU...
JF ndio kimbilio langu,naam nahitaji kufahamu biashara hizi mbili ili nami nianze kidogokidogo nitashukuru kama nitasaidiwa tafadhalini| nahitaji kufahamu kuhusu hizi:
1.BIASHARA YA KUKOBOA KUSAGA KUPACK NA KUUZA UNGA |SEMBE
2.BIASHARA YA STATIONARY|KUUZA LINE&VOCHA MBALIMBALI IKIWEZEKANA NA O ICT USED EQUIPMENT&PHONES........
TAFADHALINI NAOMBENI MSAADA NA KIANZIO KINAWEZEKANA KUWA KIASI GANI TAFADHALINI......
KWA YEYOTE MWENYE UFAHAMU TAFADHALINI NAOMBENI MNITAFUTENI HAPA HAPA|INBOX PIA MNARUHUSIWA TAFADHALINI MAWAZO YENU NDIO TEGEMEO
[0]+255-657-740-797