MWANANCHI MUSOMMMA
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 328
- 50
....hata mimi ninahitaji msaada!
Nina kama 30m ninataka kufungua duka la Vifaa vya Ujenzi , nilifingulie wapi ktk Manispaa za dar hii?
HABARI WANANCHI WENZANGU...
JF ndio kimbilio langu,naam nahitaji kufahamu biashara hizi mbili ili nami nianze kidogokidogo nitashukuru kama nitasaidiwa tafadhalini| nahitaji kufahamu kuhusu hizi:
1.BIASHARA YA KUKOBOA KUSAGA KUPACK NA KUUZA UNGA |SEMBE
2.BIASHARA YA STATIONARY|KUUZA LINE&VOCHA MBALIMBALI IKIWEZEKANA NA O ICT USED EQUIPMENT&PHONES........
TAFADHALINI NAOMBENI MSAADA NA KIANZIO KINAWEZEKANA KUWA KIASI GANI TAFADHALINI......
KWA YEYOTE MWENYE UFAHAMU TAFADHALINI NAOMBENI MNITAFUTENI HAPA HAPA|INBOX PIA MNARUHUSIWA TAFADHALINI MAWAZO YENU NDIO TEGEMEO
[0]+255-657-740-797
we mwenye 30m twende mozambique tukapige hela mpaka mwenyewe ushangae,nicheck kupitia 0718375766
utapeli huwa haufanyiki mahali pa wazi hata siku moja, nadhani umenielewaUngeweka hapa jinsi ya kupiga hela huko.
Biashara zipi?
uwe unasoma vizuri kabla ya kuchangia sio unachangia tu. inamaana unataka kusema hapo juu haajaandika kuwa anataka kupack unga wa aina gani au una uliza tu kwakuwa unajua kutype??Upo wapi ili tujue,mahitaji na malighafi unaipata wapi.unataka pack sembe,ngano au lishe? Tuanzie hapo tutaanza kupiga hesabu na kupeana namna kulingana na mtaji na upatikanaji wa malighafi/sehemu ulipo.
....hata mimi ninahitaji msaada!
Nina kama 30m ninataka kufungua duka la Vifaa vya Ujenzi , nilifingulie wapi ktk Manispaa za dar hii?
HABARI WANANCHI WENZANGU...
JF ndio kimbilio langu,naam nahitaji kufahamu biashara hizi mbili ili nami nianze kidogokidogo nitashukuru kama nitasaidiwa tafadhalini| nahitaji kufahamu kuhusu hizi:
1.BIASHARA YA KUKOBOA KUSAGA KUPACK NA KUUZA UNGA |SEMBE
2.BIASHARA YA STATIONARY|KUUZA LINE&VOCHA MBALIMBALI IKIWEZEKANA NA O ICT USED EQUIPMENT&PHONES........
TAFADHALINI NAOMBENI MSAADA NA KIANZIO KINAWEZEKANA KUWA KIASI GANI TAFADHALINI......
KWA YEYOTE MWENYE UFAHAMU TAFADHALINI NAOMBENI MNITAFUTENI HAPA HAPA|INBOX PIA MNARUHUSIWA TAFADHALINI MAWAZO YENU NDIO TEGEMEO
[0]+255-657-740-797
uwe unasoma vizuri kabla ya kuchangia sio unachangia tu. inamaana unataka kusema hapo juu haajaandika kuwa anataka kupack unga wa aina gani au una uliza tu kwakuwa unajua kutype??