Jamani Nahitaji Rafiki wa Kike wenye Uzao wa Mapacha kwenye ukoo wao..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
husika na kichwa cha habari hapo.
Hata Mapacha wa 3 itakuwa Gud zaidi.
 
Halafu umfanyeje? ...assuming you are a she as your name suggests
 
Mtahitaji hadi wachawi na waganga pori sasa!
 
Hapa nilipo nna mimba ya mapacha. . .
Enheee. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…