mama yuva JF-Expert Member Joined Aug 3, 2010 Posts 226 Reaction score 47 Nov 8, 2012 #1 Pia ningependa kujua range za ada za shule nzuri private za day km shaaban robert, mzizima, jitegemee, makongo, Mbezi beach, mbezi high. maana wakati huu wa kutafuta shule mnaweza kuwa na mabishano wazazi kwa wazazi.
Pia ningependa kujua range za ada za shule nzuri private za day km shaaban robert, mzizima, jitegemee, makongo, Mbezi beach, mbezi high. maana wakati huu wa kutafuta shule mnaweza kuwa na mabishano wazazi kwa wazazi.