Lilishawahi kujadiliwa hapa hilo suala,na ikaonekana kuwa haiwezekani kupata jibu kwa kuwa hakuna kiumbe aliyewahi kuwa mwanaume kisha akawa mwanamke na kutoa hisia zake.
Naona leo umeongeza muda wa kusali, manake unakumbuka mambo ya zamani kwa haraka!!
sijawai soma thread hiyo , mie mgeni kidogo humu janvini, I expect more
Lilishawahi kujadiliwa hapa hilo suala,na ikaonekana kuwa haiwezekani kupata jibu kwa kuwa hakuna kiumbe aliyewahi kuwa mwanaume kisha akawa mwanamke na kutoa hisia zake.
mh,nafikiri wote wana enjoy.....sema wanaume zaidi....i guess so!