trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Huyu mzee bado yupo. Dentists wanamwita Father of Dentistry. At times nahisi ni vema wataalamu kama hawa wakafuatwa na media na kupata kufahamu experience zao na maoni katika nyanja mbalimbali za utaalamu wao. Na huyu si mwingine...ni Dr. R.Muya.