trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 744 Oct 22, 2011 #1 Huyu mzee bado yupo. Dentists wanamwita Father of Dentistry. At times nahisi ni vema wataalamu kama hawa wakafuatwa na media na kupata kufahamu experience zao na maoni katika nyanja mbalimbali za utaalamu wao. Na huyu si mwingine...ni Dr. R.Muya.
Huyu mzee bado yupo. Dentists wanamwita Father of Dentistry. At times nahisi ni vema wataalamu kama hawa wakafuatwa na media na kupata kufahamu experience zao na maoni katika nyanja mbalimbali za utaalamu wao. Na huyu si mwingine...ni Dr. R.Muya.
trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 744 Oct 22, 2011 Thread starter #2 Karibuni.