Jamani naomba bei za mashine hizi

Jamani naomba bei za mashine hizi

mambo_safi

Senior Member
Joined
Jul 22, 2019
Posts
176
Reaction score
440
Aina nzuri ya hizi mashine naweza kuzipata wapi hapa Dar? Naomba na bei zake:
1. Mashine ya kujaza upepo (Air compressor)
2. Mashine ya kuchomelea (Welding machine)
 
Hivi machine ya kuchomelea magari makubwa kama malori kwenye gereji inatakiwa hiwe na uwezo kiasi gani?
 
Machine ya kuchomelea 350,000/= ipo??
Naomba specifications za hiyo welding machine. Je inakuwa imeambatana na vifaa gani vingine kama grinding/cutting machine, drilling machine, kioo/mask ya kupunguza mwanga wa kuchomelea. Kama vinauzwa separate bei gani kila kimoja? Mimi niko Dar! Unapatikana wapi?
 
Hakunaga hiyo vifaa vingine unanunua mwenyewe mpaka waya
 
Sio gharama cost kubwa ni machine mkono hule wa kuchomea,stick,waya kwa pamoja hazizidi 30,000/= waya unapimwa kwa mita kama kawaida ita cost ya waya depend na distance ambayo unataka hui operate machine yako kutoka kwny supply ya umeme.
 
Back
Top Bottom