mambo_safi
Senior Member
- Jul 22, 2019
- 176
- 440
Machine ya kuchomelea 350,000/= ipo??Aina nzuri ya hizi mashine naweza kuzipata wapi hapa Dar? Naomba na bei zake:
1. Mashine ya kujaza upepo (Air compressor)
2. Mashine ya kuchomelea (Welding machine)
Naomba specifications za hiyo welding machine. Je inakuwa imeambatana na vifaa gani vingine kama grinding/cutting machine, drilling machine, kioo/mask ya kupunguza mwanga wa kuchomelea. Kama vinauzwa separate bei gani kila kimoja? Mimi niko Dar! Unapatikana wapi?Machine ya kuchomelea 350,000/= ipo??
Hakunaga hiyo vifaa vingine unanunua mwenyewe mpaka wayaNaomba specifications za hiyo welding machine. Je inakuwa imeambatana na vifaa gani vingine kama grinding/cutting machine, drilling machine, kioo/mask ya kupunguza mwanga wa kuchomelea. Kama vinauzwa separate bei gani kila kimoja? Mimi niko Dar! Unapatikana wapi?
Ockay! Bei za hivyo vifaa ngapi? Nataka kuwa na vifaa vyoote kupunguza gharama za usafiri au nenda rudi!Hakunaga hiyo vifaa vingine unanunua mwenyewe mpaka waya
Zipo sehemu nifuate nikupelekeAina nzuri ya hizi mashine naweza kuzipata wapi hapa Dar? Naomba na bei zake:
1. Mashine ya kujaza upepo (Air compressor)
2. Mashine ya kuchomelea (Welding machine)