Jamani naomba kufahamu kama fomu za nafasi za masomo wizara ya afya kama zimetoka

Mchokozi wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
201
Reaction score
159
Kwa ambaye anafahamu kama wizara ya afya wametoa fomu za mafunzo ya afya kwa ngazi ya cheti na diploma naomba anisaidie zinapatikana wapi
 
Me Jana Nimechek Katika Tovuti Sijaona Tangazo..Lakn Nilivyoulza Kupitia Google Nilipata Maelezo Kuhusu Nafasi Za Masomo Na Namna Ya Kutuma Maombi Kwamba Nilazma Iwe Kwa Mtandao, Lakin Juu Ya Suala La Uchangiaji Wake Katka Malipo Ya Forms Ndo Wamenchanganya..! Na Kunamchangiaj Mmoja Amentia Wasiwas, Anasema "mnataka Kutulia Hela Zetu Kwan Sijaona Kitu Kama Hcho Kwenye Tovuti Ya Wizara Ya Afya" Ila Kama Upo Dar Twaweza Enda Wizaran
 
kwa ambaye anafahamu kama wizara ya afya wametoa fomu za mafunzo ya afya kwa ngazi ya cheti na diploma naomba anisaidie zinapatikana wapi


Hata mie nmeiona hyo kwenye official facebook page ya NACTE wakionesha kwamba muda wa kuanza kuomba ni sasa na deadline ni 31st july! na maombi yote itakuwa kwa njia ya mtandao wa CAS (central admission system) lkn wizara ya afya bado cjaona hlo tangazo vle vle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…