laurent lecky
Member
- Jun 14, 2016
- 8
- 2
Ni kosa moja ila amekuwa akilirudia rudia Mara nyingi sana.nenda kawaulize PCCB
wengine huiita Escrow FCNimepita maeneo Fulani nikakuta watu wanaiita timu ya Simba 'Segerea FC' huenda hii inaendana na Malinzi
[emoji28] [emoji23] Kaaah! basi sana majina mengi, huenda yapo mengine hatuyajuiwengine huiita Escrow FC
Nimepita maeneo Fulani nikakuta watu wanaiita timu ya Simba 'Segerea FC' huenda hii inaendana na Malinzi