Jamani naomba kuyajua maneno aliyoyaongea Tambwe Hizza jana kwenye kongamano la katiba mpya.

Jamani naomba kuyajua maneno aliyoyaongea Tambwe Hizza jana kwenye kongamano la katiba mpya.

mfukunyunzi

Senior Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
142
Reaction score
26
Hivi ni maneno gani aliyoyaongea ndugu tambwe hizza mpaka kusababisha watu wamzomee vile? Ningependa kuyajua maana niliona kwa kifupi sana kwenye habari ya TBC jana usiku.
 
Back
Top Bottom