mfukunyunzi Senior Member Joined Mar 4, 2011 Posts 142 Reaction score 26 Apr 8, 2011 #1 Hivi ni maneno gani aliyoyaongea ndugu tambwe hizza mpaka kusababisha watu wamzomee vile? Ningependa kuyajua maana niliona kwa kifupi sana kwenye habari ya TBC jana usiku.
Hivi ni maneno gani aliyoyaongea ndugu tambwe hizza mpaka kusababisha watu wamzomee vile? Ningependa kuyajua maana niliona kwa kifupi sana kwenye habari ya TBC jana usiku.