Jamani naomba mnisaidie kwa hili

Jamani naomba mnisaidie kwa hili

thezila

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
25
Reaction score
2
Wapendwa niko njia panda nilizaa na mwanaume lakn amefikia hatua ya kuoa bila kunitarifu kinyume na makubaliano ye2,kwa ss mtoto anahitaji ma2nzo pamoja na shule je nifanye nn ili huyu mtto apate haki zake za msingi?kwan baba yke yko hai na nimuajiriwa sekta bnafsi
 
nenda ofisi ya ustawi wa jamii ya wilaya unayoishi..kumbuka kwenda na barua ya utambulisho toka kwa serikali za mtaa maeneo unapoishi,usisahau kwenda kwa mjumbe wako kwanza kumtaarifu kwamba unahitaji barua hyo...
 
maswali
1. makubaliano yenu juu ya kuoa yana uhalali
2. kuna ushahidi wowote huyo ndiye baba wa mtoto
3 amekataa kuhu
 
Ulizaa nae tu, mlifanya zinaa mkapeana mimba bila makubaliano yoyote. Pole sana.
 
Back
Top Bottom