incredible thinker
Member
- Apr 17, 2013
- 38
- 2
Unawajua?kuna watu
Unawajua?
Umesikia kutoka kwao au umesimuliwa?
Halafu naona kama usha-confirm,sasa unauliza nini tena?
huwezi soma sabab huna physics kwenye combination yako
cjawahi kumuona daktar wa CBG labda doctor wa mifugo!
nilipokuwa kijijini nilisema hivyo kama wewe 'hakuna baiskeli inayotumia petroli' Nipo mjini sasa hivi, jirani yangu ana 'Hero' inatumia petroli na bado inaitwa 'baiskeli'
Ninataka kukwambua hivi: mawazo ya mtu ni sawa na boksi alimojifungia. CBG wanaosoma au waliosoma MD wapo wakutosha.
chuo cha afya Bugando kuna watu wanasoma MD na a level alisoma CBG.....so inawezekana hii kitu...
msaada wenu wana jF....
kwani ili uwe daktari lazima usome muhas njoo kairuki hapa tukufundishe kazihata upate one ya 3 muhimbili husomi, labda st. John's na bugando
Acha kukariri kijana nani amekwambia Physics ina application kwenye Medicine hata kidogo,MUHAS wameeka vile ili kuongeza competition nenda Bugando au njoo hapa Kairuki uexperience ze differencehuwezi soma sabab huna physics kwenye combination yakao
Acha kuropoka jaribu kuishirikisha cerebrum kwenye kutoa mawazobongo sahau labda nje