jamani naomba msaada.mtu akisoma CBG anaweza kusoma Medicine(MD)

cjawahi kumuona daktar wa CBG labda doctor wa mifugo!
kwani kila ulichokiona wewe ndio kinatendeka,Ni type za akina Mulugo;njoo hapa Kairuki,nenda IMTU,nenda Bugando nchi za watu ndio usiseme,physics is for engineering man
 
kcmc hawatak uchafu huo na kwann usisome pcb mdogo wangu
 
kcmc hawatak uchafu huo na kwann usisome pcb mdogo wangu
kwani KCMC ndio chuo pekee hapa cha MD hapa bongo,alafu kila mtu asome PCB watu wa ecology,wildife,horticulture,aquaculture....watatoka wapi acha kuwa na mawazo kama ya Muhongo alafu munajiita maprofesa
 
kaka una akili sana....kila siku nawaambia hawa mbulula hakuna kinachomshinda CBG kusoma MD na mimi ni mfano hai....
kitakushindaje dogo,physics haihusiki kitu kwenye school of medicine ony bios&chemistry MUHAS wemeeka vile ili kupunguza competition
 
thanks wandugu maana nami ni m CBG. pale kairuki ukipata mkopo 100% unalipa mwenyewe kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…