Neema mpenzi hujambo bibie? Neema?Mzizi Mkavu atamwambia aandae kwato la ng'ombe :loco::loco:
Hiyo kawaida sana mi inantokea kwenye shuka ndio linapiga short
Lazima itakuwa ni aina ya tshirt ya michezo,yenye mchanganyiko wa polyester kwa wingi,wakati inapokuwa mwilini hukusanya joto na pia nyuzinyuzi zake hukamatana,wakati unapoivua nyuzi zile huachana katika hali fulani ya msuguano unaosababisha hicho unachokiona kama cheche,naamini huna tatizo lolote,zaidi labda wataalamu zaidi watajongea.
Nenda kaulkize FB huku hamna dr wa mambo hayo
Jamani Si Utani Ninatatizo Kila Nikivua Tshirt Inatokea Cheche Kama Vile Kupiga Shoti Je Hii Ni Nini?