Jamani naomba msaada wa kibiashara

Tainya

Senior Member
Joined
Feb 21, 2016
Posts
178
Reaction score
92
habari za saizi wana jamvi..
hope wote ni wazima..

mim ni kijana nipo nasoma chuo mwaka wa tatu
nimepata pesa tsh. 1000000 nlikuwa nahitaj biashara ya kufanya ili nijiongezee kipato ili hata ntapomalza chuo niwe na shughuli ya kujishugulisha

NB:
now nipo field hadi mwezi wa saba.......hope ushauri wenu utasaidia kuwa na maamuzi sahihi
 
siku zote biashara ya kufanya nzuri na yenye kipato kikubwa ni ile ya kutatua matatizo ya watu basi , hivyo angalia mahali ulipo kuna tatizo gani kasha tatua
 
Kwa sasa upepo sio mzuri sana, jitahidi kuibana hiyo pesa na ikiwezekana ongezea kidogo ili upepo wa biashara utakapokuwa mzuri uweze kufanya biashara vizuri
 
Kwa sasa upepo sio mzuri sana, jitahidi kuibana hiyo pesa na ikiwezekana ongezea kidogo ili upepo wa biashara utakapokuwa mzuri uweze kufanya biashara vizuri
Asante mkuu
 
unaishi wapi?maana biashara pia inaendana na population yani idadi ya watu(wateja)
ww mbali na kuwa na hiyo pesa una wazo gani maana biashara muhimu kuwa na wazo kwanza then pesa kufanikisha wazo lako asante
 
Mkuu mm naish dar na nlikuwa nafkiria kama kuingia kweny biashara ya nafaka coz demand yake nazan ni kubwa kwa hapa jijin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…