Pedeshee kiraka
Member
- Jan 7, 2012
- 61
- 7
Nilimpenda dada mmoja cha kushangaza tangu nimwambie i lv u, amekata na mimi mawasiliano sim hapokei, wala sms hajibu naumia sana bcoz nampenda mpaka najuta kwanini nisingeendelea na msimamo wangu wa kutokuwa na mwanamke mpaka nioe tatizo ni kwamba ninampenda mpaka msimamo wangu ukaishia hapo. Jaman naomba mnishauri.
Hutaki kuwa na mwanamke hadi uoe? Utaoaje bila kuwa na mwanamke?
Lakini sasa kaka hata kuniambia kwamba nina wangu hajasema.anaonesha ana dharau sana yaan nampigia simu anaitazama tu.