Jamani naomba msaada wa mapenzi yananisumbua

dah! kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiria meli kiwanja cha ndege.
SOURCE: Mpoki
 
Experience inaonyesha kuwa ni wanaume wachache sana huwa na mahusiano na wanawake wale wamewapenda sanaaa, yaani toka kumoyoo kabisa. Ila taa kama imewaka arifu angalia ni taa gani weye wajua zaidi kwetu kule kuna msemo:

Hakuna mapenzi, bali uthibitisho wa mapenzi tu.

ushanifahamu?
 
Tengeneza bango uliandike I LOVE YOU FLANI alafu ukalibandike pale kwao kwa nje alafu subiria CHANGES uone kama utaendelea kujutia uamuzi wako.
Tatizo lenu vijana mmekariri eti "Asha nitafute kuna kitu nataka nikuambie" kuweni wabunifu ooh
 
Jaman ni hatar sana,umri wko ni mdogo ndio maana challenge km hyo inakusumbua sn lkn hayo ni mambo ya kawaida na utakutana nayo meng mpk ukifikia kuoa.Pole sana yatakwisha
 
kwan lazima huyo huyo?mbna wamejaa tena wazuri zaidi yake,au hujui kuwinda?
 
hilo ndo tatizo unapopima kina cha maji hatuaanzii kichwa ila tunatumia mti sawa mkubwa?ctrl+alt+d then start.
 
hilo ndo tatizo unapopima kina cha maji hatuaanzii kichwa ila tunatumia mti sawa mkubwa?ctrl+alt+d then start.

Tambua Kuwa were pia aw gharama na Kama unataka kumpata nenda nae taratibu bila woga wala papara,ukimwonyesha Kuwa nae ni wa kawaida tu,akitambua Huna ujasiri na Huna ujanja umekwisha hata ukimpata utakuwA mtumwa aw mapenzi ni bora Kuwa na msimamo before
 

mapenzi hayana formula moja tu. mara nyingine ni pata potea.
 
Hivi kwanini mnakimbilia kusema I LOVE YOU vijana wa kisasa?!!Mtapigwa vibuti mpaka mkafungwe mabandeji hospitali!Sasa ukitaka kumpata,jaribu kuonana naye na jifanye hukumbuki ulichosema!Mpaka aone huna nia naye tena ndio ataanza kukutafuta tena!If you can't interest her,don't say a straight "I love you"!Piga vitendo,wacha maneno!
 
Tafuta mwingine, Kwani lazima yeye tu, ebo!



QUOTE=Pedeshee kiraka;4408989]Nilimpenda dada mmoja cha kushangaza tangu nimwambie i lv u, amekata na mimi mawasiliano sim hapokei, wala sms hajibu naumia sana bcoz nampenda mpaka najuta kwanini nisingeendelea na msimamo wangu wa kutokuwa na mwanamke mpaka nioe tatizo ni kwamba ninampenda mpaka msimamo wangu ukaishia hapo. Jaman naomba mnishauri.[/QUOTE]
 
Kaka zangu na dada zangu mie naona ntulie tuu kama mlivyonishauri kwa maana mpaka sasa haeleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…