Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
...Apewe sababu kwani ni kwake? Ye atulie tu hata kama hakufunguliwa mlango kuna shida gani? Muhimu mzigo wake hata akitaka si anapewa tu. Kama humo ndan kulikuwa na njemba au la wala haina umuhimu wowote..Kwani aliendelea kujifungia siku zote??mmmmh ...........
na ulipewa sababu ya gani ya kukataliwa kufunguliwa mlango?