Milamule. J
Member
- Nov 23, 2013
- 9
- 4
Una haki ya kwenda mahkmni kudai hela yako pamoja na fidia juu. Kama utaweka wakili basi gharama zake atabeba yeye iwapo utashinda kesi.Kuna mtu nilimwazima pesa kiasi cha mil 1.5 na kuweka dhamana ya nyumba kwa maandishi mbele mtendaji wa kijiji kwa makubaliano ya kulipa ndani ya kipindi cha miezi mitano, alifanikiwa kulipa laki mbili tu hadi muda wa ahadi kuisha na zaidi, hajalipa tena ili kumaliza deni hilo lililobaki.
Nina haki ya kwenda mahakamani kudai haki yangu na kukabidhiwa nyumba endapo mtuhumiwa atashindwa kulipa au nifanye nini ili mtuhumiwa asitoe ahadi za kulipa kidogo kidogo?
Pole Mkuu, Majuzi tu Mo Dewji alisema Hakuna kitu Kinaua Urafiki kama Mikopo!
Pole ..
Wajuzi wanakuja.
Asante sana.
Mkuu, kwanza muondoe stroke kwenye orodha hiyo ndipo tuje kuchangia. Huyo ni kanjanja. Hajui lolote la kisheria. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Sawa ngoja nimtoeMkuu, kwanza muondoe stroke kwenye orodha hiyo ndipo tuje kuchangia. Huyo ni kanjanja. Hajui lolote la kisheria. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Kwa hiyo sasa hivi hutaki pesa unataka nyumba yake? Nauliza kwa sababu sasa unasema hutaki za kidogo kidogo..
Je akikulipa 1m mara moja yoteeee.. iliyobaki bado utaenda mahakamani?
Una haki ya kwenda mahkmni kudai hela yako pamoja na fidia juu. Kama utaweka wakili basi gharama zake atabeba yeye iwapo utashinda kesi.
Suala la kulipa taratibu ni suala ambalo mnaweza kukubaliana iwapo wewe utaona inafaa, lakini iwapo kama kavunja makubaliano yenu, automatically huwa ni lazima arudishe hela yote kwa mara moja.
Kuhusu wewe kuchukua nyumba, Hilo haiwezekani, ila mahakama inawez toa Muda wa huyo mtu kulipa in full, au siku let say, 14 na akishindwa, mahakama itateua court broker ndo aweze kuiuza kwa mnada. Hata hvyo na wewe unaweza kuwa ni sehemu ya wateja hvyo ukijichanga fresh unawez nunua katika mnada huo.
Mkuu NAHUJA, Milamule. J na wengineo, napenda kuchukua fursa hii kuwapa somo dogo juu ya 'mikopo' baina ya marafiki, ndugu au jamaa. Kwanza, watu wengi hawafahamu kuwa kukopesha ni haki ya taasisi za kifedha kama benki. Hizo ndizo zenye haki ya kudai amana mfano nyumba, makato ya mshahara na kadhalika. Mtu binafsi hana hiyo haki hadi asajiliwe kisheria kuwa 'taasisi' ya kifedha..
Mkuu, kumuazima na kumkopesha hakuna tofauti. Tafadhali nisome tena. Nimeshauri umpeleke polisi au mahakamani 'kujaribu' kama atalipa.Nimekusoma sana, nashukru sana kwa ushauri huo. Barua ya makubaliano inaonesha kuwa nilimuazima kiasi hicho cha cha fedha na sio kumkopesha, vipi unanishauri nini kuhusu kauri hii bado sina haki kisheria au nifanye nini badala yake?
Mkuu, kumuazima na kumkopesha hakuna tofauti. Tafadhali nisome tena. Nimeshauri umpeleke polisi au mahakamani 'kujaribu' kama atalipa.
Nenda kwanzaSaw a mkuu, kwa maana hiyo hata nikipeleka kesi mahakamani, mdaiwa akakaidi kulipa sitakuwa na msaada zaidi. Naomba unisaidie zaidi nini kifanyike tofauti na hilo?
Nenda kwanza
Mkuu NAHUJA, Milamule. J na wengineo, napenda kuchukua fursa hii kuwapa somo dogo juu ya 'mikopo' baina ya marafiki, ndugu au jamaa. Kwanza, watu wengi hawafahamu kuwa kukopesha ni haki ya taasisi za kifedha kama benki. Hizo ndizo zenye haki ya kudai amana mfano nyumba, makato ya mshahara na kadhalika. Mtu binafsi hana hiyo haki hadi asajiliwe kisheria kuwa 'taasisi' ya kifedha...