Jamani naomba msaada wenu wa sheria dhidi ya madai

ulichotoa ndio haki yako. katika misingi ya sheria kila mkataba, uwe wa maandisha au si wa maandishi ni sharti utimilizwe. Hata hivyo kama mkataba ni kinyume cha sheria au unakiuka misingi flani basi huo ni batili na hauna mashiko.

kwa suala lako sahau nyumba, zingatia Mil. 1.5 tu ulizo mpatia huyo mtu. dhamana si haki yako wa mkopo haufanyi dhamana ikawa haki ya mtu mwingine. kwa kifupi dhamana au hata riba si mali ya mkopeshaji.
 
Kwaiyo ukimdai mtu unatakiwa uanzie mahakamani au polisi mana hapa me mwenyew napataga mkanganyikoo.....
 

Ndugu, nakubali kuwa watu hukopeshana kiholela lakini je, hakuna uwezekano wa mdai kumshitaki mkopshwaji kama yeye sio taasisi? Ukisema kumpeleka polisi au mahakamani kwa kujaribu, je huyu mtu aliyemkopesha hana haki popote kisheria kupata pesa yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…