JAMANI NAOMBA MSAADA

Hii nayo yaweza kuwa n sababu mojawapo
 
Hii comment ndio imenifanya nione kumbe tatizo umri!
Bado mdogo huyo!
Subiri umri ufike 27+
 
Mridhishe kitandani ataacha fujo, alafu sio vema sana mwanamke kaelewa vyanzo vyako vyote vya pesa na kiasi unachokipokea, siku utahitaji kufanya jambo ambalo hulipaswi yeye kufahamu itakuwa tafrani kwa stail hiyo mkuu
 
Maelezo yamejitosheleza[emoji106]
 
Pole sana mkeo ana gubu si la nchi hii na kingine ameshajua unampenda sana ndio mana vituko haviishi sisi bana ukionyesha unatupenda tu basi utafanyiwa vituko sana
 
huyo sio kaka ni dada chikira
 
Kwa yote hayo uloyofanya kwake hana shukrani na upende akupendae na yule asiyekupenda achana nae usilazimishe upendo we tafuta anayekupenda huo ndo ushauri wangu kwako japo najua upendo unaumiza kwa unayempenda lakini wakati mwingine inabidi uchukue maamuzi ya kiume kwa hatua hiyo uliyofikia
 
huyo sio kaka ni dada chikira
haahahahah, mwambie, mwambie mie sio kaka. Kama vipi nichukue nafasi ya huyo anayemringia mringia, wahitaji tupo hahahahahha.
Good afternoon Shunie
 
Kwa ujauzito hana labda hilo
Kimjazacho mtu ndicho kimutokacho nimekuwa nikimwambia mara kwa mara kwamba au unapenda kutoka wanaume wengine maana huwezi ukawa unaniambia nina tabia mbaya na wakafikisha sioni nina tabia gani mbaya
me anfikir jamaa pale juu katoa poijt xana mana huwez jua una mnyanyas kwa jinc gani kma ww unaon upo sawa kwake basi cha kufanya boresha mechi zako ziwe za ukweli nafikir ndo hicho ila anaogop kukuambia and also huyo rafiki ako mchunge huenda anakuzidi kete ndo mana mkeo anakuzungikia mbuyu kwake
fanya hivo kaka ndoa ngumu usisahau kufanya show ya uhakika
 
Pole mkuu. Mimi nahisi kuna mtu wa karibu (labda ndugu au rafiki) ambaye mke wako anamwamini, amekuzushia maneno kwa mke wako kwamba una wanawake wengine.
Haiwezekani ghafla tu kila unalofanya mke wako anazungumza habari ya wanaweke wengine.

Hebu mdadisi kwanza kwamba kwa kipindi hiki huwa anazungumza sana na mtu gani unayemfahamu. Ukifahamu, fuatilia huwa wanazungumza nini.

Mimi naamini anapewa maneno na mtu wa karibu.
 
Duh,kwan mmeshapata mtoto??

Alaf jitahid kumuuliza ili ujue hana tatizo gan..
Yaan mbambeleze akueleze n jitathimin lyfstyle yko n labda kuna sehem unakosea kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…