Tanganyika1 JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 423 Reaction score 90 May 28, 2011 #1 Tangu nilipokua mtoto nimekua nikisikia watu wanasem ati hizo ni ndoto za alinacha. sasa nashindwa kupata jibu, huyu alinacha ni nani? au tunamaanisha nini tunaposema ndoto za alinacha? tafadhali wanajamii naomba majibu.
Tangu nilipokua mtoto nimekua nikisikia watu wanasem ati hizo ni ndoto za alinacha. sasa nashindwa kupata jibu, huyu alinacha ni nani? au tunamaanisha nini tunaposema ndoto za alinacha? tafadhali wanajamii naomba majibu.
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,253 Reaction score 11,626 May 28, 2011 #2 ?????????