Jamani naomba nifahamisheni..

Andrew Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
330
Reaction score
117
Poleni na mihangaiko ya maisha wana jf
naomba kwa anayefahamu bei ya alizeti jumla na rejareja kwa dar es salaam.
Nawasilisha
 
naomba uiweke sawa hii Alizeti mafuta au Alizet malighafi, utasaidiwa mkuu!
 
Mabangayeye? au mafuta yake?
 
naomba uiweke sawa hii Alizeti mafuta au Alizet malighafi, utasaidiwa mkuu!

mkuu ni yale mafuta tu ambayo yameshakamuliwa na yako tayari kweye madumu ya lita 5 au 20, sio mbegu wala mashudu yake.
 
Naweza kukuleteya kwa sh 15000/= kwa lita 5 kama unachukuwa mengi mie ninaweza kussuply kwa wengi 0712976729
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…